DUA FOR MSELLEM MOTHER

*TANGAZO LA KISOMO*Assalaamu Alaikum Warahmatullahi Wabarakaatuh Familia ya Msellem Omar,inapenda kuwaarifu kufanyika kwa kisomo cha kumuombea dua marehemu mama yao Mlezi bi Sabila Aman.Siku:*Jumamosi, tarehe 27 October 2018.*Muda: *6.00 to 9.00 Pm*Anuani:*Spencerville Local Park**15701 Good Hope Rd,**Silver Spring, MD 20905*Tunatanguliza Shukrani. Tafadhali mjulishe na mwengine.Wabillahi Tawfeeq.

Read more →