DUA FOR MSELLEM MOTHER



*TANGAZO LA KISOMO*
Assalaamu Alaikum Warahmatullahi Wabarakaatuh 
Familia ya Msellem Omar,inapenda kuwaarifu kufanyika kwa kisomo cha kumuombea dua marehemu mama yao Mlezi bi Sabila Aman.
Siku:*Jumamosi, tarehe 27 October 2018.*
Muda: *6.00 to 9.00 Pm*
Anuani:*Spencerville Local Park*
*15701 Good Hope Rd,**Silver Spring, MD 20905*
Tunatanguliza Shukrani. 
Tafadhali mjulishe na mwengine.
Wabillahi Tawfeeq.